TAMBWE APATA MTOTO WA KIKE, NIYONZIMA, MKEWE NA WANAYE WAFIKA KUMPONGEZA



Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe amepata mtoto wa kike aliyempa jina la Raiyan.

Tambwe raia wa Burundi, amemshukuru Mungu kutokana na mkewe kujifungua salama.

“Anaitwa Raiyan, tunamshukuru Mungu kwa yote,” alisema.


Kiungo Haruna Niyonzima aliongozana na mkewe pamoja na watoto wao mapacha kwenda kumjulia hali Tambwe na mkewe.
TAMBWE APATA MTOTO WA KIKE, NIYONZIMA, MKEWE NA WANAYE WAFIKA KUMPONGEZA TAMBWE APATA MTOTO WA KIKE, NIYONZIMA, MKEWE NA WANAYE WAFIKA KUMPONGEZA Reviewed by Unknown on 2:07 PM Rating: 5

No comments:

Theme images by Colonel. Powered by Blogger.