WACHEZAJI WA KIGENI WA SIMBA WAANZA MAJARIBIO JIJINI DAR
Wachezaji wa kigeni wa Simba kutoka katika nchi za Ivory Coast, DR Congo wameanza majaribio leo.
Kocha mpya wa Simba, Joseph Omog ndiye alikuwa akisimamia mazoezi hayo.
Wachezaji
wawili kutoka DR Congo wameanza majaribio leo ambao ni beki na kiungo
na mshambuliaji Cedrick Blagnon raia wa Ivory Coast.
Hata
hivyo imekuwa ni vigumu kushuhudia mazoezi ya Simba kwa kuwa
yanafanyika ndani ya uzio wa Jeshi la Polisi Kilwa Road jijini Dar es
Salaam.
WACHEZAJI WA KIGENI WA SIMBA WAANZA MAJARIBIO JIJINI DAR
Reviewed by Unknown
on
6:02 AM
Rating:
No comments: