HATIMAYE ZIMBWE JR ATIA SAINI FOMU ZA SIMBA, AKUBALI UNDUGU WA MIAKA MIWILI IJAYO
Uongozi wa Simba umewashusha presha mashabiki wake baada ya kumsainisha tena beki wake Mohamed Hussein Zimbwe.
Zimbwe maarufu kama Tshabalala amesaini mkataba wa miaka miwili baada ya makubaliano yaliyofanyika wiki moja na nusu iliyopita.
Simba
ilikubaliana na Zimbwe mbele ya baba yake mzazi na meneja wake, Herry
Mzozo na leo ametia saini mbele ya Rais wa Simba, Evans Aveva.
HATIMAYE ZIMBWE JR ATIA SAINI FOMU ZA SIMBA, AKUBALI UNDUGU WA MIAKA MIWILI IJAYO
Reviewed by Unknown
on
10:00 AM
Rating:
No comments: