PATA PICHA YA KWANZA YA MAGURI AKIWA NDANI YA OMAN
Mshambuliaji Elius Maguri aliamua kuachana na Stand United na kwenda kufanya mazungumzo na klabu ya nchini Oman.
Mambo sasa ni safi na hii ni picha ya kwanza ya Maguri akiwa jijini Muscat nchini Oman, dakika chache kabla ya kusaini mkataba.
PATA PICHA YA KWANZA YA MAGURI AKIWA NDANI YA OMAN
Reviewed by Unknown
on
8:32 AM
Rating:
No comments: